halotel haina setting za internet, lazima iwe na software kusapoti
Simu yako hujaset Access Point Name (APN) za mitandao husika, kumbuka kila mtandao una APN zake zinazokusaidia kujiunga na Internet, hivyo basi simu yako ina APN za voda tu za line nyingine huja set. Tafuta namna ya kuset hizo APN.
kwenye hii simu yangu napata shida kuhusu internet. nikitaka kutumia internet kwa line ya voda inakubali. nikiswitch kwenda halotel airtel inagoma kabisa. simu inatumia line mbili na kuna wakati nataka kutumia line flani kwa internet inagoma. Msaada wanajukwaa
Fuata steps hiz kuset APN.(HALOTEL)
1.nenda setting then mobile network
2.chagua "Access point names"
3.then New APN, hpo edit APN
4. name =Halotel
5. APN= b-internet
then save!
Hapo tayari.
Katika phone yako nenda kwenye setting tafuta sehemu imeandikwa network ifungue then tafuta sehemu imeandikwa APN ifungue afu palipo andikwa name jaza halotel, then sehemu palipo andikwa APN jaza v_Internet afu kwenye MNC jaza 09 afu save. Hapo itakua tayari tatzo limeisha
Unatumia aina gani ya simu?