L Louria New Member Joined Jan 17, 2017 Posts 3 Reaction score 2 Jan 24, 2017 #1 Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili? Asanteni
Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili? Asanteni
K katichi JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 2,011 Reaction score 1,181 Jan 24, 2017 #2 Bado nadhani
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Jan 24, 2017 #3 Tuna ajiri kwa awamu noted by Angela kairuki
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,054 Reaction score 16,509 Jan 24, 2017 #4 Hatujaita bado.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,733 Reaction score 25,542 Jan 24, 2017 #5 tang'ana said: Hatujaita bado. Click to expand... mnategemea kuanza kutuita kwenye tarehe ngapi?
florianwences Member Joined Jul 4, 2016 Posts 71 Reaction score 20 Jan 25, 2017 #6 Naamini tutajulishwa
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,936 Reaction score 8,345 Feb 9, 2017 #8 Kwa sasa ni teuzi tu
L Louria New Member Joined Jan 17, 2017 Posts 3 Reaction score 2 Feb 10, 2017 Thread starter #9 dyuteromaikota said: Kwa sasa ni teuzi tu Click to expand... Au wanafanya logistics za kuhamia Dodoma kwanza ndo waanze kuajiri nini?
dyuteromaikota said: Kwa sasa ni teuzi tu Click to expand... Au wanafanya logistics za kuhamia Dodoma kwanza ndo waanze kuajiri nini?
faru john junior JF-Expert Member Joined Dec 26, 2016 Posts 1,596 Reaction score 1,724 Feb 10, 2017 #10 Louria said: Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili? Asanteni Click to expand... Kuna bnk inaitwa nmb nao wlitangaza tangu mwezi wa kumi cjui ndo watu tayari wako kazini mwnye taarifa tafadhari jaman
Louria said: Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili? Asanteni Click to expand... Kuna bnk inaitwa nmb nao wlitangaza tangu mwezi wa kumi cjui ndo watu tayari wako kazini mwnye taarifa tafadhari jaman
Kidume cha mbegu JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 1,251 Reaction score 710 Feb 10, 2017 #11 faru john junior said: Kuna bnk inaitwa nmb nao wlitangaza tangu mwezi wa kumi cjui ndo watu tayari wako kazini mwnye taarifa tafadhari jaman Click to expand... Hahahahaah mkuu
faru john junior said: Kuna bnk inaitwa nmb nao wlitangaza tangu mwezi wa kumi cjui ndo watu tayari wako kazini mwnye taarifa tafadhari jaman Click to expand... Hahahahaah mkuu
faru john junior JF-Expert Member Joined Dec 26, 2016 Posts 1,596 Reaction score 1,724 Feb 11, 2017 #12 Kidume cha mbegu said: Hahahahaah mkuu Click to expand... Mkuu umenicheka kulikon?
cosmonaut JF-Expert Member Joined Apr 12, 2015 Posts 1,392 Reaction score 2,770 Mar 17, 2017 #13 Louria said: Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili? Asanteni Click to expand... wcf walita interview itakuwa march 18, 2017. majina yapo kwenye website yao. hawa lAPF wao sijui
Louria said: Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili? Asanteni Click to expand... wcf walita interview itakuwa march 18, 2017. majina yapo kwenye website yao. hawa lAPF wao sijui
Good People JF-Expert Member Joined Aug 6, 2016 Posts 938 Reaction score 1,819 Mar 17, 2017 #14 faru john junior said: Kuna bnk inaitwa nmb nao wlitangaza tangu mwezi wa kumi cjui ndo watu tayari wako kazini mwnye taarifa tafadhari jaman Click to expand... Wale waliingia training mwezi wa 12 bado wanapiga
faru john junior said: Kuna bnk inaitwa nmb nao wlitangaza tangu mwezi wa kumi cjui ndo watu tayari wako kazini mwnye taarifa tafadhari jaman Click to expand... Wale waliingia training mwezi wa 12 bado wanapiga
Dibo10 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,328 Reaction score 1,631 Mar 17, 2017 #15 Louria said: Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili? Asanteni Click to expand... Sidhani kama mwezi huu utaisha mtakuwa mshaitwa, maombi yalikuwa mengi sana
Louria said: Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili? Asanteni Click to expand... Sidhani kama mwezi huu utaisha mtakuwa mshaitwa, maombi yalikuwa mengi sana
miss naire JF-Expert Member Joined Oct 31, 2016 Posts 237 Reaction score 228 Mar 18, 2017 #16 Louria said: Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili? Asanteni Click to expand... mm nimepata email from LAPF, kuitwa kwa interview dodoma itafanyika tar 23-march, complience officer ii
Louria said: Habari za kazi wadau naulizia mtu yoyote mwenye updates kuhusu lapf na wcf kama wamesha ita watu kwa ajili ya usaili? Asanteni Click to expand... mm nimepata email from LAPF, kuitwa kwa interview dodoma itafanyika tar 23-march, complience officer ii
miss naire JF-Expert Member Joined Oct 31, 2016 Posts 237 Reaction score 228 Mar 18, 2017 #17 kama kuna mwingine aliye pata email from LAPF, kwa nafasi hyo ya complience officer tujuzane, interview inafanyikia dodoma 23-march
kama kuna mwingine aliye pata email from LAPF, kwa nafasi hyo ya complience officer tujuzane, interview inafanyikia dodoma 23-march
S Sada Mjela Member Joined Oct 29, 2016 Posts 5 Reaction score 2 Mar 18, 2017 #18 miss naire said: kama kuna mwingine aliye pata email from LAPF, kwa nafasi hyo ya complience officer tujuzane, interview inafanyikia dodoma 23-march Click to expand... Mmmh mi pia Niliomba ila Ushapata email ngoja wengine waje Labda Tayar wameita
miss naire said: kama kuna mwingine aliye pata email from LAPF, kwa nafasi hyo ya complience officer tujuzane, interview inafanyikia dodoma 23-march Click to expand... Mmmh mi pia Niliomba ila Ushapata email ngoja wengine waje Labda Tayar wameita
S Sada Mjela Member Joined Oct 29, 2016 Posts 5 Reaction score 2 Mar 18, 2017 #19 Sijapata email yyte
Kajolijo JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 3,364 Reaction score 4,618 Mar 18, 2017 #20 Ata mimi sijapata japo niliomba