Mwenye updates kutoka TSSF atuletee hapa

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,858
Salaam,

Hawa jamaa mapema mwaka huu walitoa waraka wa kukiri kuwa wamefungiwa ila watarudisha pesa za waliowadahili, mpaka sasa sioni kinachoendelea.

Nasubiri pesa yangu nikafurahie pasaka.
 
Salaam,

Hawa jamaa mapema mwaka huu walitoa waraka wa kukiri kuwa wamefungiwa ila watarudisha pesa za waliowadahili, mpaka sasa sioni kinachoendelea.

Nasubiri pesa yangu nikafurahie pasaka.
Ungefafanua,hawa ni akina nani? Na unataka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…