neyma joseph
Member
- May 15, 2016
- 22
- 2
Hawa jamaa mwezi ulopita walitangaza kazi mwenye taarifa kuhusu interview yao ilishafanyika au?
Airportndo nani hao mkuu?
Okey asante kwa taarfaInterview ilishafanyika Na ukifika pale Airport kibanda cha information utakuta tangazo kuwa hawapokei barua tena... Wala hawaiti Watu kwenye intetview