ondoa shaka mkuu....ila inapokuandikia optimizing 10 of 137 inamaana inaandaa mafile yote ya android os ili iweze rejea kama kawaida , hivyo unapaswa subiri mpaka ifike 137....ila mara nyingi hii hutokea baadaya ku upgrade android version au baada ya kufactory reset simu yako...ila kama ilijizima tu yenyewe subiri ijimalize kuload na kisha toa mrejesho kwamba waweza itumia au inajizima tena... kwasababu yawezekana os imejicorrupt , si unajua tecno android operating system yake haiko stable ? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kama ilizima baada ya kuishiwa chaji kabisa, na ukaichaji ikawa na asilimia 1% tu ukakimbilia kuiwasha, waga sina chelewa kuwaka hata nusu saa uku inafanya ivo "android is upgrading" haka ka ugonjwa common kapo pia kwenye simu za tecno L5,,,, So kama ulkua unaichaji iyo boom J8 unatakiwa uisubili walau ifikishe hata 10%,,,, kingine utakua umejaza sana apps ww kweli tecno kama inavojulikana ni simu dhaifu ani unaijazia Apps 137...!?,