CIA mgumu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2022 Posts 961 Reaction score 1,962 Oct 8, 2022 #1 Kama kichwa cha habari hapo juu mwenye ujuzi na haya mdini soko lake likoje na mnunuaji pia ni nani na yanauzwa kwa tone au kg? Karibuni wenye ujuzi na kutoa darasa
Kama kichwa cha habari hapo juu mwenye ujuzi na haya mdini soko lake likoje na mnunuaji pia ni nani na yanauzwa kwa tone au kg? Karibuni wenye ujuzi na kutoa darasa
Bexb JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 736 Reaction score 1,654 Oct 8, 2022 #2 Weka report yako ya maabara tujue unashauri vipi mkuu.
CIA mgumu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2022 Posts 961 Reaction score 1,962 Oct 8, 2022 Thread starter #3 Bexb said: Weka report yako ya maabara tujue unashauri vipi mkuu. Click to expand... Soma vizuri bandiko langu kiongozi mimi mwenyewe natafuta kupewa maelezo kwa kina
Bexb said: Weka report yako ya maabara tujue unashauri vipi mkuu. Click to expand... Soma vizuri bandiko langu kiongozi mimi mwenyewe natafuta kupewa maelezo kwa kina
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,945 Reaction score 193,992 Oct 9, 2022 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...