Mwenye ujuzi na hili

Mwenye ujuzi na hili

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
866
Reaction score
526
Wadau heshima mbele !!
Bila kupoteza muda niende kwenye mada moja kwa moja,naomba kujuzwa kwa mwenye uzoefu na haya magari ya mitsubishi Airtrek.
Katika peruzi peruzi mtandaoni nimefanikiwa kuiona moja ipo japani ina specs kama ifuatvyo;
ni four cylinder turbo
ya mwaka 2002
cc 1990
CIF 3250 usd
Naomba kuuliza gari kama hii hadi kuitia mkononi inaweza kufika sh ngapi ushuru na kila kitu?
pia kama kuna mtu anajua juu ya mapungufu ya hizi gari please naomba afunguke.
Karibu kuchangia.
 
Ushuru kwa gari ya cc1990 na iliyokwishapita miaka kumi toka ilipotengenezwa (2002) ni sh mil6 mpaka kuitoa bandarini

Kuhusu ubora wake, sijui kiundani lakini kama ni mitsubishi ni gari nzuri ila zingatia nunua gari ambayo mileage iko chini ya laki moja
 
Back
Top Bottom