Habari wana JF
Katika karne hii ya sasa bila elimu ya Technolojia flani itakuwa ngumu sana kufanikiwa kwani dunia yasasa ni ya kidigitali zaidi kwaio hutakiwi kupitwa na elimu ya technolojia kama vile kutengeneza Website,Application n.k n.k
Narudia tena kuandika na Lengo la Uzi huu ni kukupa course yoyote ya Udemy uitakayo kwa gharama sawa na bure..kwakuwa Udemy.com course zao zinauzwa ghali watu wengi wameshindwa kujifunza mambo mbalimbali kwa ufasaha
"mwenye ujuzi halali njaa" ndivyo wahenga wasemavyo basi namm nakuhakikishia ukiwa na ujuzi uwezi lala njaa karibu jipatie kozi yoyote kwa kuwa INTERNET imekua ni zaidi ya Chuo
Kozi zilizopo ni kama vile kujifunza mapishi,kujifunza kingereza,kutengeneza website,Mobile Apps, Computer software,,Cyber security (CISCO),Ethical hacking,Networking,,Logo & Graphic design,Kutengeneza Animation,,Adobe photoshop & illustrator basic for begginer to Advance kwakweli kozi ni nyingi sana sana sana Chaguo ni lako tu
Jinsi ya kupata kozi izo hatua ya kwanza unaji register kwenye Website ya Udemy au download App yao baada ya apo utarequest kwa mtoa mada kozi unayotaka na atakutumia link ambayo ina expire ndani ya masaa 48 utabonyeza ENROLL kisha utakuwa umenunua kozi FOR FREE kabisa mfano wa picha apa chini
Mods tafadhali mfute uzi na sababu sio mnafuta kila UZI jaribuni kutembelea forum kama Quora au ata NairaLand muone watu wanavyopeana madili na connection hasa Nairaland wanaija wako smart sana,Sasa uku uzi hauna shida hakuna mtu alietapeliwa ila mnaufuta mtoe basi sababu mnakera sana
Enewei mwenye uhitaji tupatane tsap kwa link/namba hii
WhatsApp Messenger: Über zwei Milliarden Menschen in über 180 Ländern benutzen WhatsApp, um jederzeit und überall mit Freund*innen und Familie in Kontakt zu bleiben. WhatsApp ist kostenlos, bietet einfachen, sicheren und zuverlässigen Nachrichtenaustausch und Telefonie und ist auf Telefonen rund...
Nawasilisha mwenye swali,pia wale wakosoaji wajuaji mwenye povu KARIBUNI
View attachment 1827131View attachment 1827133View attachment 1827132
View attachment 1827129