chumachakavu
Member
- Oct 1, 2017
- 55
- 103
Hakika,pesa imepoteaPole mkuu hapo ni pagumu sana anatakiwa nae alete mtu ndio yeye apate faida,
Kiufupi ajipange kuhusu mambo mengeni pesa amepoteza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoka haraka huko uliko na nenda Dar kamchukue huyo ndugu yako,vitu vingine unaona kabisa katapeliwa halafu unauliza humu,hakuna Mafunzo Dar tena yanayotolewa na Kampuni ambayo mfunzwaji anatakiwa alipie PESA yote hiyo,hayo ni MATAPELI kama MAJIZI mengine tu,uwahi leoleo kumuokoe nduguyoHabari ndg zangu,naomba yeyote mwenye ufahamu wa kampuni ijulikanayo kwa jina tajwa hapo juu anijuze,maana kuna mtoto wa dada yangu amejiunga na hiyo kampuni lakini imekuwa ngumu kupata taarifa zake baada ya kufika Dar wa salaam ambapo ndiko kwenye hiyo kampuni hana uhuru wa simu yake,kila ukipiga simu anapokea mtu mwingine na akipelekewa simu haongei kwa uhuru,kila swali ninalomuuliza anasema nitakwambia baadae,na hiyo Baadae ukipiga hapokei, hata ukipiga mara mia moja hapokei,napata mashaka na hiyo kampuni,mpaka sasa amelipa ada ya mafunzo sh 2,000,000 kama ada ya mafunzo naambiwa bado milioni moja kukamilisha hiyo ada yao ya mafunzo,baada ya mafunzo sijajua amehaidi nini, yaani ni giza mwanzo mwisho.napata wasiwasi isiwe ni ndugu yake Qnet.Kiukweli sijapata taarifa yeyote ya kitu gani wanafundishwa kwenye hiyo kampuni kiasi cha kulipa pesa nyingi hivyo,plz mwenye ufahamu juu la hii kampuni atujuze kwa faida yangu na wengine.
Pole imeenda hiyoHakika,pesa imepotea
Kwa nini msiwe mna google ili kuepukana na aina hii ya utapeli. Member yeyote wa JF anazijua hizo kampuni, unalipa 2M ili upewe mafunzo ya kufanya nini kipya na wakati huo ni mtaji tosha kabisa, mpe pole yake sana.Habari ndg zangu,naomba yeyote mwenye ufahamu wa kampuni ijulikanayo kwa jina tajwa hapo juu anijuze,maana kuna mtoto wa dada yangu amejiunga na hiyo kampuni lakini imekuwa ngumu kupata taarifa zake baada ya kufika Dar wa salaam ambapo ndiko kwenye hiyo kampuni hana uhuru wa simu yake,kila ukipiga simu anapokea mtu mwingine na akipelekewa simu haongei kwa uhuru,kila swali ninalomuuliza anasema nitakwambia baadae,na hiyo Baadae ukipiga hapokei, hata ukipiga mara mia moja hapokei,napata mashaka na hiyo kampuni,mpaka sasa amelipa ada ya mafunzo sh 2,000,000 kama ada ya mafunzo naambiwa bado milioni moja kukamilisha hiyo ada yao ya mafunzo,baada ya mafunzo sijajua amehaidi nini, yaani ni giza mwanzo mwisho.napata wasiwasi isiwe ni ndugu yake Qnet.Kiukweli sijapata taarifa yeyote ya kitu gani wanafundishwa kwenye hiyo kampuni kiasi cha kulipa pesa nyingi hivyo,plz mwenye ufahamu juu la hii kampuni atujuze kwa faida yangu na wengine.
QI GROUP ndiye mmiliki wa QNET, mpaka hapo usiulize maswali zaidi.Habari ndg zangu,naomba yeyote mwenye ufahamu wa kampuni ijulikanayo kwa jina tajwa hapo juu anijuze,maana kuna mtoto wa dada yangu amejiunga na hiyo kampuni lakini imekuwa ngumu kupata taarifa zake baada ya kufika Dar wa salaam ambapo ndiko kwenye hiyo kampuni hana uhuru wa simu yake,kila ukipiga simu anapokea mtu mwingine na akipelekewa simu haongei kwa uhuru,kila swali ninalomuuliza anasema nitakwambia baadae,na hiyo Baadae ukipiga hapokei, hata ukipiga mara mia moja hapokei,napata mashaka na hiyo kampuni,mpaka sasa amelipa ada ya mafunzo sh 2,000,000 kama ada ya mafunzo naambiwa bado milioni moja kukamilisha hiyo ada yao ya mafunzo,baada ya mafunzo sijajua amehaidi nini, yaani ni giza mwanzo mwisho.napata wasiwasi isiwe ni ndugu yake Qnet.Kiukweli sijapata taarifa yeyote ya kitu gani wanafundishwa kwenye hiyo kampuni kiasi cha kulipa pesa nyingi hivyo,plz mwenye ufahamu juu la hii kampuni atujuze kwa faida yangu na wengine.