muuza bucha
Member
- Sep 8, 2014
- 81
- 9
Hizo za kichina Singsung tu 24" bila 300,000k hupati. Hiyo pesa nunua Simu mzee flat screen.
Lete 190,000 nikuuzie original samsung flatscreen inch 19 nimeitumia miezi miwili tu.. Nipigie 0654838131
Duuuuh'flat screen 150..ata kam mtumba,labda iwe scraper hyo
Hizo za kichina Singsung tu 24" bila 300,000k hupati. Hiyo pesa nunua Simu mzee flat screen.
kwa bei hiyo uatapata flat tv ya mbao:glasses-nerdy:
singsung ni product kutoka SINGAPORE (four tigers)... usikariri mkuu