and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,263
- 39,804
Biashara ya gym ilikua enzi za mkwere sasa hv maisha ni gym toshaNdio mkuu. Gym ni upotezaji wa pesa tu. Unakuta mtu anakwenda gym laki 5/month ila anapolala pachafu kama dampo.
Binafsi nimeamua kudamka saa 10 alfajiri kila siku na kufanya yafuatayo kabla ya kwenda kazini.
1. Kufua nguo,
2. Kukimbia kwa dakika 30;
3. Kufagia uwanja na kumwagilia bustani ya mboga & maua;
4.:kuosha gari.
Baada ya haya yote ndo nioge ninywe chai niwahi kibaruani.
** Yote hayo nayafanya kuanzia saa 10 alfajiri hadi saa 12 alfajiri ifikapo saa 12:30 asubuhi nipo kazini napiga kazi nikiwa fresh bila kulipia GYM
NB: ya nn kupoteza pesa wakati nyumbani kwako una shughuli za mikono za kukutoa jasho!
Gym ya elfu 5 mmiliki anapataje faida?Gym ipo hadi ya ukilipa 5000 na kua memba haulipi tena unaenda kulipa laki tano yote ya nini?
Kuna watu wanapenda wenzao wafanye mazoezi wamejitoa kimtindo huo.Gym ya elfu 5 mmiliki anapataje faida?
Hii ya 5000 itanifaa zaidi, inapatikana wapi hii?Gym ipo hadi ya ukilipa 5000 na kua memba haulipi tena unaenda kulipa laki tano yote ya nini?
[emoji120] [emoji120]Kuna watu wanapenda wenzao wafanye mazoezi wamejitoa kimtindo huo.
Ila kikihitajika kifaa mtachanga.
Kwenye kota za NHC za Upanga karibu na Mhimbili nimesahau jina la mtaa kuna jamaa ameweka vifaa vya gym kwenye rooftop.
Na unaenda kufanya mazoezi bure, humjui hakujui. Na ukimaliza hapo unaingia kwenye swimming pool.
AMESEMA YA KISASA ,MASHINE YA KUKIMBILIA TU 1.5 ,TUNATARAJIA UWE NAZO 4 ,HUJAWEKA ZA VYUMA BAISKELI ETC +PANGONOT TO THAT EXTENT
Kigamboni.
Bro..unaudhoefu na hii boashara maana hats Mimi nahitaji kuanzisaha hapa mwanza....ila sijui namna ya kuanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuuKigamboni.
Mwananyamala kwa Matunge kuna gym ukilipa hela ya umemba (30,000) kwa mwezi unakua unalipa 5000 tu.