T Tonge kubwa New Member Joined Apr 28, 2016 Posts 3 Reaction score 0 May 11, 2016 #1 Wadau mwenye taarifa na TRA kuita watu kazini wanijuze.
kanuga JF-Expert Member Joined Apr 13, 2014 Posts 743 Reaction score 1,309 May 11, 2016 #2 Ushashiba tonge kubwa ... Mbona wakati unaitwa interview ulipata habari..." kwa lugha nyepesi ushachekechwa na chujuio la matundu makubwa
Ushashiba tonge kubwa ... Mbona wakati unaitwa interview ulipata habari..." kwa lugha nyepesi ushachekechwa na chujuio la matundu makubwa
T Tonge kubwa New Member Joined Apr 28, 2016 Posts 3 Reaction score 0 May 12, 2016 Thread starter #3 Duu!
Snowpiercer JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 2,384 Reaction score 4,355 May 12, 2016 #4 Mkuu Watu walishakalia office mpaka wamezoea we bado unasubiri kuitwa tu. Keep on waiting, be patient kuitwa is loading...........
Mkuu Watu walishakalia office mpaka wamezoea we bado unasubiri kuitwa tu. Keep on waiting, be patient kuitwa is loading...........
M markj JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 1,778 Reaction score 685 May 13, 2016 #6 mnadanganyana! pambaneni vijana TRA sio peponi
M Malima01 Member Joined Jun 20, 2013 Posts 50 Reaction score 17 May 13, 2016 #7 Tonge kubwa said: Wadau mwenye taarifa na TRA kuita watu kazini wanijuze. Click to expand... Training inaanza Jumatatu (16/May /2016)
Tonge kubwa said: Wadau mwenye taarifa na TRA kuita watu kazini wanijuze. Click to expand... Training inaanza Jumatatu (16/May /2016)