Mwenye taarifa ya soko la Hoho

Gengeni unaweka vizuri tu,unahitaji kiasai gani ili tuongee bei vizuri
sijajua unapangaje? hebu nielekeze unauza kwa kipimo gani na bei gani?
 
Nipo mwanza ninaplan kupanda zaidi ya miche 15000 ya hoo. Nimejaribu on a small scale nimeona zinakubali na zinapenda arth bikira. Naombeni kwa nyie ambao mnaexperience mnisaidie ushauri kidogo interms of mbegu, na matunzo.
 
ni kweli ukipata vigin land utapata mavuno makubwa....nunua mbegu aina ya holland na F1...matunzo ni kupalilia kila uonapo majani..mwagilia kila baada ya siku tatu...weka mbolea kila baada ya siku 30
 
ni kweli ukipata vigin land utapata mavuno makubwa....nunua mbegu aina ya holland na F1...matunzo ni kupalilia kila uonapo majani..mwagilia kila baada ya siku tatu...weka mbolea kila baada ya siku 30
Iyo mbegu ya holland F1 ni bei gan na sifa zake ni zipi. Kama nahitaji mbegu 25000 itanicost bei gani kuzinunua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…