Njoo Dar utembelee mahotel makubwa kuna demand kubwa sanaNahitaji Wateja wa ndani na nje niwauzie pilipili hoho,nina mzigo wa kutosha,kila wiki,na kila mwezi kwa muda wa mwaka Mzima kuanzia mwezi huu wa kwanza mpaka mwezi wa kwanza tena 2017.
Kwa yeyote anayejua au anataarifa soko lilipo naomba anisaidie kunipa taarifa mapema sana.
Mimi Niko mbeya.
Kumbuka kubeba samplesAsante sana Mshana
Kumbuka kubeba samples[/QUOTE
Poa,
Unaweza kujua bei ya hoho hapo mwanzaKwa sasa hivi mwanza hoho ni shida.
Unaweza kujua bei ya hoho hapo mwanza
Hizo hoho ni green, red au yellow?
Nahitaji Hoho kwa wingi.
Nicheki ktk namba 0654998326 tuongee biashara
Nipo Dar
Kwa jumla ndio cjajua, tunauziwa fungu mia tano kwa mia nne, zamani tulikuwa tunapata mpaka fungu mia, wanadai hoho zimekwenda na maji.
Hoho tatu.
Mungu akubariki ndugu unatumia mtandao kwa faida,nimependa takuiga.
je unauzaje? unaweza kunishawishi nikaweka gengeni kwangu