Mwenye taarifa ya MUHAS.

SIMEON KATATANAMA

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
479
Reaction score
277
Salaam wakuu. Yapata miezi miwili sasa tangu lilipofungwa dirisha la kuomba nafasi za kazi pale Chuo Cha Sayansi na Tiba Muhimbili. Naomba mwenye taarifa anijuze kama washaita watu kwenye usaili.
Natanguliza Shukrani.
 
Hata mm mkuu bt mm niliomba MOI niliomba nafas ya health administrator was july kama kuna m2 atujuze plse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…