Mengine sijui, Kama unaqualification isiweke mawazo ya kujuana...kwa hizi nafasi hakuna kama hicho. Watz tupunguze kuweka mawazo kwamba kuna kujuana. Kinachomata ni uzoefu na qualifation zako. na kama ukibahati kuitwa utakavojibu maswali yao bila kutetemeka.....
Mimi sifanyi kazi RUBADA ila niliwapigia tu kujua what is going on maana namba zao ziko kwenye mtandao.