Aniko JF-Expert Member Joined Jan 3, 2016 Posts 1,766 Reaction score 960 Apr 29, 2018 #1 Salaam Kama picha inavyoonekana na kwa kutambua Jf ni kisima cha taarifa naomba mwenye taarifa za kina anijuze hatua kubwa kwa Muhimbili yetu. Attachments IMG-20180429-WA0016.jpg 96.1 KB · Views: 33
Salaam Kama picha inavyoonekana na kwa kutambua Jf ni kisima cha taarifa naomba mwenye taarifa za kina anijuze hatua kubwa kwa Muhimbili yetu.
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,827 Reaction score 29,504 Apr 29, 2018 #2 Unataka ujuzwe nimi tena Boss, hebu fafanua
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,235 Reaction score 138,626 Apr 29, 2018 #3 Mlandula Jr said: Salaam Kama picha inavyoonekana na kwa kutambua Jf ni kisima cha taarifa naomba mwenye taarifa za kina anijuze hatua kubwa kwa Muhimbili yetu. Click to expand... MNH wameanza kufanya KIDNEY TRANSPLANT
Mlandula Jr said: Salaam Kama picha inavyoonekana na kwa kutambua Jf ni kisima cha taarifa naomba mwenye taarifa za kina anijuze hatua kubwa kwa Muhimbili yetu. Click to expand... MNH wameanza kufanya KIDNEY TRANSPLANT
Aniko JF-Expert Member Joined Jan 3, 2016 Posts 1,766 Reaction score 960 Apr 29, 2018 Thread starter #4 chakii said: Unataka ujuzwe nimi tena Boss, hebu fafanua Click to expand... Sikuwa nafahamu hili kama hapa kwetu limeanza kufanyika nilikuwa najua lazima twende India na kwingineko labda.
chakii said: Unataka ujuzwe nimi tena Boss, hebu fafanua Click to expand... Sikuwa nafahamu hili kama hapa kwetu limeanza kufanyika nilikuwa najua lazima twende India na kwingineko labda.
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,827 Reaction score 29,504 Apr 29, 2018 #5 Mlandula Jr said: Sikuwa nafahamu hili kama hapa kwetu limeanza kufanyika nilikuwa najua lazima twende India na kwingineko labda. Click to expand... hapana , wameanza kutoa hiyo huduma hapa nchini
Mlandula Jr said: Sikuwa nafahamu hili kama hapa kwetu limeanza kufanyika nilikuwa najua lazima twende India na kwingineko labda. Click to expand... hapana , wameanza kutoa hiyo huduma hapa nchini
H Himidt Lengo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2018 Posts 389 Reaction score 370 Apr 29, 2018 #6 Safi sana !
SN.BARRY JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 4,051 Reaction score 9,003 Apr 29, 2018 #7 Swali, hizo figo wanazitoa wapi?