Y yewomi Member Joined Jul 20, 2012 Posts 78 Reaction score 27 Mar 22, 2013 #1 jaman kwa waliopata taarifa yoyote kuhusu PSPFwatujuze na sisi
S SG8 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2009 Posts 3,955 Reaction score 2,135 Mar 23, 2013 #2 yewomi said: jaman kwa waliopata taarifa yoyote kuhusu PSPFwatujuze na sisi Click to expand... Mimi nimesikia PSPF wanataka wanachama wapya, kajisajili
yewomi said: jaman kwa waliopata taarifa yoyote kuhusu PSPFwatujuze na sisi Click to expand... Mimi nimesikia PSPF wanataka wanachama wapya, kajisajili
ram Platinum Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,385 Reaction score 8,648 Mar 23, 2013 #3 ah ah ah ahhahah, mwenzio aliomba kazi, anauliza kama wameshaita watu kwa intavyuu SG8 said: Mimi nimesikia PSPF wanataka wanachama wapya, kajisajili Click to expand...
ah ah ah ahhahah, mwenzio aliomba kazi, anauliza kama wameshaita watu kwa intavyuu SG8 said: Mimi nimesikia PSPF wanataka wanachama wapya, kajisajili Click to expand...
S SG8 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2009 Posts 3,955 Reaction score 2,135 Mar 24, 2013 #4 ram said: ah ah ah ahhahah, mwenzio aliomba kazi, anauliza kama wameshaita watu kwa intavyuu Click to expand... Kumbe? Sikujua bwana, nilipoona anasema taarifa yoyote nikajua yoyote kuhusu PSPF... Siku nyingine aweke wazi bwana
ram said: ah ah ah ahhahah, mwenzio aliomba kazi, anauliza kama wameshaita watu kwa intavyuu Click to expand... Kumbe? Sikujua bwana, nilipoona anasema taarifa yoyote nikajua yoyote kuhusu PSPF... Siku nyingine aweke wazi bwana
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,991 Reaction score 30,188 Mar 24, 2013 #5 yewomi said: jaman kwa waliopata taarifa yoyote kuhusu PSPFwatujuze na sisi Click to expand... PSPF wana intern 25 ambao nao wameambiwa waombe. Hapo bado wa vimemo!! We jipe moyo tu, ila pagumu.
yewomi said: jaman kwa waliopata taarifa yoyote kuhusu PSPFwatujuze na sisi Click to expand... PSPF wana intern 25 ambao nao wameambiwa waombe. Hapo bado wa vimemo!! We jipe moyo tu, ila pagumu.