Mwenye Soft Copies za level 4 - PSPTB

BUNDLE

Senior Member
Feb 9, 2013
140
34
HELLOW GUYS, naomba yeyote mwenye soft copies za aina yoyote ya study material au vitabu kwa level 4 (psptb), ambazo ni strategic proc, international proc, contract management na strat supply chain mangmnt, if u can share with me ntumie kwa email hii (iconkb10@gmail.com)
 
kama uko dar nenda tu pale PSPTB.. PALE GPSA hope unapapata.. kanunue vitabu na past pepa pia unaweza kupata watu wenye access ya hayo material..
 
Bundle bila shaka mkuu utafuata hayo maelekezo na utafanikiwa ktk jitihada zako.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
HELLOW GUYS, naomba yeyote mwenye soft copies za aina yoyote ya study material au vitabu kwa level 4 (psptb), ambazo ni strategic proc, international proc, contract management na strat supply chain mangmnt, if u can share with me ntumie kwa email hii (iconkb10@gmail.com)

Level 4 ndio masomo yote ya mwaka wa 3 kama umesoma hiyohiyo procurement so tumia hayohayo madesa na Q & A za psptb bas umefaulu...nlifanya hivyo nkapita kiulaini
 
Tafuteni kozi nyingine msome mjiajiri achaneni ya hizi kozi mtahangaika sana kupata kazi wandugu ,ushauri wa bure lkn kama hutaki jaribu utajionea

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Tafuteni kozi nyingine msome mjiajiri achaneni ya hizi kozi mtahangaika sana kupata kazi wandugu ,ushauri wa bure lkn kama hutaki jaribu utajionea

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

me napenda kupata vyeti, ndo furaha yangu, kazi sio issue saana
 
HELLOW GUYS, naomba yeyote mwenye soft copies za aina yoyote ya study material au vitabu kwa level 4 (psptb), ambazo ni strategic proc, international proc, contract management na strat supply chain mangmnt, if u can share with me ntumie kwa email hii (iconkb10@gmail.com)
Hi guys,
Nami pia naomba mwenye materials ya Professional level 3 nayaomba.
brenjack95@gmail.com

Nimeiona hii post mwaka 2019 can U imagine!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom