Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,934
Wakuu mwenye hiyo simu kwa bei poa anipm tafadhali najua zimeshashuka bei.Nikipata mbili nitafurahi yangu na ya Mchepuko wa njia kuu
Ninayo nauza 300000
Acha uswahili wewe..
Huo utapeli ni wakizamani,huwezi kuuza clone kwa mtu sahv ukamwambia n original..