Mwenye PC pitia hapa

haupo serious ww mzee
 
Ukipata na mm nishtue..
 
Kwa hiyo hela, njoo nikupe HDD!
 
heheheee acha ujuaji dogo
core i5..
processor 8
ndio nin?
 
Mkuu kanunue sim ya techo itakufaa zaidi
 
Acha Ufa.l.a
 
labda upewe 486 sijui kama uliwahi kuiona hiyo computer
 
Mrejesho wadau nawashukuru wote hatimaye nimefanikiwa kuipata PC yenye sifa zote nilizoziorodhesha hapo juu nimashine ya maana ni HP, pia nimepewa na begi lake ,pad zake,frash ya niongeza na movie pia game nimewekewa bure kwa warrant ya mwaka mmoja

Nimeuziwa kwa 100,000/= tu
 
Hawajakupa na namba za Fundi wao kabisa ili usipate shida huko uendako?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…