Ndo elimu yetu hiyo, no wonder hatuwezi kufanya uvumbuzi, watu wanazunguka mule mule , kwa ajili ya kukariri maswali na majibu,
Usimlaumu mtoa mada , shida inaanza toka juu kwa hao maprofesa wanaotunga mitihani , bila wao kukariri maswali ya kuuliza huku chini wanafunzi wasingeahangaika na past papers.
Hapana , elsewhere it is not!, Systems ya kusoma kwa kutumia past papers ndo inatukelea wasomi wenye passmarks za juu lakini kwenye practical ni zero ,
Past papers ni usomi wa kukariri,