Mwenye notes za general chemistry za Ngaiza

Loockman

Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
73
Reaction score
17
Mwenye notes za general chemistry za ngaiza ziwe soft copy au kitabu au anayejua wapi vinapatikana kwa morogoro naomba anisaidie na shida nacho asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma vitabu upate maarifa wewe achana na mambo ya vitini vitakupoteza

Sent using my infinix hot 6 pro
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie wanafunzi mnaosoma science
Mnapata wap muda wa kuperuzi jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…