mwenye nokia lumia 520 tu

mwenye nokia lumia 520 tu

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,117
haya wakuu yule mwenye nokia lumia 520 window phone tubadilishane nimpe S4 clone made in korea ram 2 gb na internal memory 16 gb nampa na earphone, charger na box lake simu nimeitumia miezi 2 tu ina application 98 zipo ok may be uongeze zingine 0762565266...simu yangu haina tatizo lolote lile. nipo dsm
 
Mmmmh! Tatizo litakuwa ni chaji haikai,
 
Kwa kweli sijui tofauti ya hizi simu ila mimi natumia Lumia 520 kwa wiki ya tatu sasa bado mpya najifaidia. Kwa nini unataka kubadili? Unaweza kunishawishi huenda nikabadili mawazo nikakupa Lumia yangu
 
Back
Top Bottom