Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 239
- 169
Wanabodi naomben msaada wa namba za cm za TCU Nina shida nazo
masomo sita mkuuMkuu naomba unfahamishe foundation kwa sis walim wahitim wa diploma tunasoma masomo mangp??
Masomo yapo sita unatakiwa ukaze kweli yaan ile mitihan ni kama unareseat na usimamiz wake ni wa hali ya juu nyakati za mitihanMkuu naomba unfahamishe foundation kwa sis walim wahitim wa diploma tunasoma masomo mangp??
bro samahan iv ukitaka kusoma degree mwaka mwingne inabidi usiapply kabisa mpaka huo mwaka? MF mm nmemalza mwaka huu diploma ila namaan nsiapply kabsa mpaka mwaka kesho ambapo ndo nataka niendelee kusoma?Masomo yapo sita unatakiwa ukaze kweli yaan ile mitihan ni kama unareseat na usimamiz wake ni wa hali ya juu nyakati za mitihan
bro samahan iv ukitaka kusoma degree mwaka mwingne inabidi usiapply kabisa mpaka huo mwaka? MF mm nmemalza mwaka huu diploma ila namaan nsiapply kabsa mpaka mwaka kesho ambapo ndo nataka niendelee kusoma?