darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 2,454
- 5,121
Iringa vijiji sehemu gani? taja locationMoja kwa moja kwenye mada
Kama kichwa kinavojieleza mtu mwenye mtaji na anapenda kulima zao la mahindi namkaribisha tufanye kazi
Aina ya mahindi tutayolima ni mahindi ya kuchoma maarufu kama GOBO
size ya shamba kuanzia heka kumi mpaka hamsini
Location :Iringa vijijini
Gharama ya uzalishaji TSH 50@1 (50TSH kwa kila muhindi mmoja gharama hii hushuka mpaka TSH 40 kwa muhindi kulingana na size ya shamba na rutuba.
Bei ya kuuzia kwa kila muhindi maximum 200TSH na minimum 90TSH
idadi ya mahindi kwa heka moja ni mahindi 18,000
Duration miezi minne (4 )
Tunaweza kufanya umwagiliaji au kutegemea mvua ila kwa wakati tuliopo mvua zitatufaa zaidi
Karibuni tufanye kazi ndugu zangu hizi ni moja kati project za kilimo zenye risk ndogo kabisa
Uzi tayari.
Kijiji cha NyalaweIringa vijiji sehemu gani? taja location
Nyalawe ipo Kama unaelekea wapi? Nikiwa Ipogolo!Kijiji cha Nyalawe
HEebu toa maelezo yaliokamilikaKijiji cha Nyalawe
Moja kwa moja kwenye mada
Kama kichwa kinavojieleza mtu mwenye mtaji na anapenda kulima zao la mahindi namkaribisha tufanye kazi
Aina ya mahindi tutayolima ni mahindi ya kuchoma maarufu kama GOBO
size ya shamba kuanzia heka kumi mpaka hamsini
Location :Iringa vijijini
Gharama ya uzalishaji TSH 50@1 (50TSH kwa kila muhindi mmoja gharama hii hushuka mpaka TSH 40 kwa muhindi kulingana na size ya shamba na rutuba.
Bei ya kuuzia kwa kila muhindi maximum 200TSH na minimum 90TSH
idadi ya mahindi kwa heka moja ni mahindi 18,000
Duration miezi minne (4 )
Tunaweza kufanya umwagiliaji au kutegemea mvua ila kwa wakati tuliopo mvua zitatufaa zaidi
Karibuni tufanye kazi ndugu zangu hizi ni moja kati project za kilimo zenye risk ndogo kabisa
Uzi tayari.
Kwahiyo.. Kwa hesabu zangu za harakaharaka unaweza kutengèneza NET PROFIT OF 50,000,000/= Milioni hamsini, kwa miezi minne hiyo ya kilimo.. Si ndio!Moja kwa moja kwenye mada
Kama kichwa kinavojieleza mtu mwenye mtaji na anapenda kulima zao la mahindi namkaribisha tufanye kazi
Aina ya mahindi tutayolima ni mahindi ya kuchoma maarufu kama GOBO
size ya shamba kuanzia heka kumi mpaka hamsini
Location :Iringa vijijini
Gharama ya uzalishaji TSH 50@1 (50TSH kwa kila muhindi mmoja gharama hii hushuka mpaka TSH 40 kwa muhindi kulingana na size ya shamba na rutuba.
Bei ya kuuzia kwa kila muhindi maximum 200TSH na minimum 90TSH
idadi ya mahindi kwa heka moja ni mahindi 18,000
Duration miezi minne (4 )
Tunaweza kufanya umwagiliaji au kutegemea mvua ila kwa wakati tuliopo mvua zitatufaa zaidi
Karibuni tufanye kazi ndugu zangu hizi ni moja kati project za kilimo zenye risk ndogo kabisa
Uzi tayari.
Kwahiyo.. Kwa hesabu zangu za harakaharaka unaweza kutengèneza NET PROFIT OF 50,000,000/= Milioni hamsini, kwa miezi minne hiyo ya kilimo.. Si ndio!
Kama siko sahihi nirekebishe na unaweza kujalizia kitu hapo ili tuone zaidi fursa iliyopo hapo..
Sahihi kabisa mkuu kwa kila heka Moja Net profit ina range kwenye 1,000,000-2,700,000Kwahiyo.. Kwa hesabu zangu za harakaharaka unaweza kutengèneza NET PROFIT OF 50,000,000/= Milioni hamsini, kwa miezi minne hiyo ya kilimo.. Si ndio!
Kama siko sahihi nirekebishe na unaweza kujalizia kitu hapo ili tuone zaidi fursa iliyopo hapo..
Sahihi kabisa mkuu kwa kila heka Moja Net profit ina range kwenye 1,000,000-2,700,000
Cha muhimu ni kuwahi (kupanda kwa mvua za kwanza) ndio unapata bei ya 200 kwa kila muhindi sasa baada ya hapo bei huenda ikipungua taratibu kulingana na supply inavyoongezeka mpaka inakuja ku got hapo kwenye 90 TSH kwa kila muhindi
Msimu wa mvua ukiisha bei inarudi tena kwenye 200.
Karibu PM boss tufanye kazi.
Unatengeneza kabisa hii 50mil bila tabu wala nini, lakin kwa Calculator na ukiwa kwenye keyboard Kama hivi.Kwahiyo.. Kwa hesabu zangu za harakaharaka unaweza kutengèneza NET PROFIT OF 50,000,000/= Milioni hamsini, kwa miezi minne hiyo ya kilimo.. Si ndio!
Kama siko sahihi nirekebishe na unaweza kujalizia kitu hapo ili tuone zaidi fursa iliyopo hapo..
Unaweza kua na point, ila ulivomalizia "Uzi Tayari" ni ishara kua hauko seriousMoja kwa moja kwenye mada
Kama kichwa kinavojieleza mtu mwenye mtaji na anapenda kulima zao la mahindi namkaribisha tufanye kazi
Aina ya mahindi tutayolima ni mahindi ya kuchoma maarufu kama GOBO
size ya shamba kuanzia heka kumi mpaka hamsini
Location :Iringa vijijini
Gharama ya uzalishaji TSH 50@1 (50TSH kwa kila muhindi mmoja gharama hii hushuka mpaka TSH 40 kwa muhindi kulingana na size ya shamba na rutuba.
Bei ya kuuzia kwa kila muhindi maximum 200TSH na minimum 90TSH
idadi ya mahindi kwa heka moja ni mahindi 18,000
Duration miezi minne (4 )
Tunaweza kufanya umwagiliaji au kutegemea mvua ila kwa wakati tuliopo mvua zitatufaa zaidi
Karibuni tufanye kazi ndugu zangu hizi ni moja kati project za kilimo zenye risk ndogo kabisa
Uzi tayari.
Tena unatajiwa vijiji vya mbali ndani ndani huko ili ushindwe kwenda ubaki unatuma tu tigopesa.Mr.kuku[emoji125][emoji125][emoji125]
Hahaha mkuu hicho kijiji ni less than 25 kilometers kutoka mjini kati.Tena unatajiwa vijiji vya mbali ndani ndani huko ili ushindwe kwenda ubaki unatuma tu tigopesa.