kilo ipo mkuu? yaani 100kNatafuta hii modem tafadhari mwenye nayo aniambie wapi yupo na bei ill come to pick
Lete hiyo 90k nikupeUpo wapi nije hatuwezi shindwana
tembelea ttcl shop jamaa walikua wakiuza 50000 na 3Gb wapataNatafuta hii modem tafadhari mwenye nayo aniambie wapi yupo na bei ill come to pick
Asante mkuu. Ttcl hawana kwa sasa. Ila niliipata kwa mdau mmoja jana. Nashukuru kwa hili pia.