Nlitaka kuuliza maana thread hii hii niliona jana seems hayuko serius au ndio umaarufuNikimpata anipendae ntampenda sana na atajuta kwanini hatukukutana mapema
Naona upo serious kweli kweli sio kwa hizi thread bi mdada
Hahaaaaaaaa duuuu kumbe umeshamfata mkuu?Kwani anazijibu hata hizo pm mkuu?
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Hatumuoni mtu sasa tunapendezwa na maandishi?Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Je una bikra!Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.