Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Mapointi mtupu.ila hapo kwenye kupenda mmoja ndo umeharibu sred, huwezi nitenganisha na wapenzi wangu Evelyn Salt na Lady doctor hata spare wangu Mamndenyi .
toa tofauti tano kati ya mke na mpenzi!!!!!!!!
hayo maswali nilikutalia kuniswalisha tangu jana kule malaika hotel. Angalia mambo muhimu tu.je unakula na kusaza? Kule kwa akina six kwa six huwa unashiba? Hayo ndo ya msingi
sishibi kote!!!!!
mapenzi haya kificho yanapoingia moyoni,mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo,mtu chake
apendacho hakina ila machoni huridhika kuwa nacho japo hakina thamani,.mapenzi hayachagui
kabila
wala rangi wala jina fulani,mkipendana kikweli kuachana ni muhali,mtafanya juu chini ya watu
hamuyajali,ukipenda upende mmoja usichanganye wa pili,mapenzi ni fani na ujuzi hayataki shahada ya
skuli, utamu wa mapenzi hauna mfano unashinda sukari na asali,mapenzi yanataka subra uvumilivu na
kujali,mapenzi hayataki tamaa ubinafsi na idhlali,mpende kikweli uingie moyoni uwe nae kwa hali na
mali,mapenzi ni gharama jitolee usifanye ubakhili,kipendacho moyo hununuliwa japo kwa bei ya
ghali...
Mapointi mtupu.ila hapo kwenye kupenda mmoja ndo umeharibu sred, huwezi nitenganisha na wapenzi wangu Evelyn Salt na Lady doctor hata spare wangu Mamndenyi .
halafu weee! Me sinimeshakuambia nipende peke yangu....? Sasa unaniweka katikati ya wasaji nitalogwa eti
nimekuwekea kinga zidi ya wachawi.