Hakuna ratiba ya kudumu, kufuturu kuwa lazima iwe saa fulani, muda waweza badilika inategemea machweo ya jua. Ila kama upo kwenye mji na kuna msikiti utasikia adhana ya Swala Magharibi, jua muda wa kufuru tayari. Lakini nikuulize mkuu huu ndiyo Ramadhani yako ya kwanza kufunga?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.