Mwenye majina ya mkopo UDSM!

Mwenye majina ya mkopo UDSM!

nagajo

Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
16
Reaction score
15
Wakuu kama kuna mtu amefanikiwa kuyapata majina ya waliopata mkopo UDSM, tafadhari tuweeke hapa, maana kwenye website ya board inasumbua kufunguka
 
Sasa MTU atawekaje majina ya watu 600 ambayo yamebandikwa ukutani
 
Lowassa kipaumbele chake cha kwnz pili na tatu kilikw Elimu Elimu Elimu.
Yule mwngne ilkw ni kufungua mahakama ya mafisad na kuanzisha viwanda.
So tutaisoma namba kweli kweli.
 
Back
Top Bottom