Mwenye majibu

Mwenye majibu

Xerophytic B

Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
10
Reaction score
1
Mimi ni miongoni mwa wahitimu wa diploma tuliochaguliwa kujiunga na shahada ya kwanza katika fani za kipaumbele. Naomba kuwaulizeni hivi mikopo watu wa diploma haituhusu kwa mwaka huu
 
Mmmmmm mimi sijui ila kama wewe ni mTz unahusika . Uliomba mkopo lakini??
 
Kuwa na subira kwani bado burch nyingine zinatoka na kutembelea loans board ingesaidia ili kupata majibu yaliyo kamili
 
Back
Top Bottom