cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,117
- 1,804
Habari za asubuhi wakuu! Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, kwa yeyote mwenye link ya gb whatsapp new version naomba anisaidie tafadhali maana whatsapp yangu ime expire kitambo kidogo naambiwa ni download ili nipate new version matokeo yake kila nikidownload inakataa inaniletea tena option ya kudownload, sasa nimefanya hivyo mara kwa mara lakini inakataa ndio maana nikaamua kuja humu jukwaani kwa kuamini kwamba hakuna kinachoshindikana.
Aksanteni, nawasilisha
Aksanteni, nawasilisha