Mwenye line ya Tigo pesa na M pesa

osnyo

Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
45
Reaction score
5
Natafuta line za uwakala za Tigo pesa na M pesa bei nipeni isiwe kubbwa
 
Chukua tahadhari na unachotaka kufanya mkuu, unaweza ukaja kulia kilio ambacho hakijawahi kuliwa na mtu mtu yoyote. Ni bora uende tu ofice husika ukafanye mchakato, ni rahisi sana na wala haina gharama
 
Asanteni nimeamua kwenda ofisini moja kwa moja
 
Chukua tahadhari na unachotaka kufanya mkuu, unaweza ukaja kulia kilio ambacho hakijawahi kuliwa na mtu mtu yoyote. Ni bora uende tu ofice husika ukafanye mchakato, ni rahisi sana na wala haina gharama

Kwani utaratibu ukoje? Mkuu
 
Kwani utaratibu ukoje? Mkuu
Tafuta tin number, leseni ya biashara, kopi ya kitambulisho na picha 2 za pasport size, nenda kampuni husika utapatiwa unachotaka
 
Natafuta line za uwakala za Tigo pesa na M pesa bei nipeni isiwe kubbwa
Piga 0716614049, ntakupa ushirikiano wa kubadili jina Kama utapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…