Mwenye laptop au desktop (full)

Mwenye laptop au desktop (full)

Salih

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
687
Reaction score
504
Ndugu wanaJF kwa yeyote mwenye Laptop ambayo ameiweka tu Ndani haitumii ama kwakuwa ana zaidi ya moja au hata Desktop lkn iwe inafanya kazi vizuri(namaanisha uwezo) kwa kiasi cha 200,000/=tu
 
Nipo Mwanza lakini
 
Ongeza dau upate toshiba hdd 160 haina tatizo zaid ya kukaa na charge 0765480855 nipo mwanza pia
 
Ndugu wanaJF kwa yeyote mwenye Laptop ambayo ameiweka tu Ndani haitumii ama kwakuwa ana zaidi ya moja au hata Desktop lkn iwe inafanya kazi vizuri(namaanisha uwezo) kwa kiasi cha 200,000/=tu
ongeza laki moja na nusu niko mwanza pia ninayo toshiba ya ukweli ni pm.
 
Back
Top Bottom