Mwenye kuzijua simu za infinity!

Mwenye kuzijua simu za infinity!

PRINCEd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
860
Reaction score
623
Leo katika pitapita zangu nkakutana na hizi simu..INFINITY SMARTPHONES..wenye kuzijua...kweli hizi simu sio za mwezi june...TCRA??
Je, vipi kuhusu ubora na uimara wake...??
Naomba kuwasilishaa
 
Nachojua mm n bora kuliko tecno kwa kila ktuu
Kuanzia battery camera mpaka resolution
 
Infinix hot 2
 

Attachments

  • 1465216999415.jpg
    1465216999415.jpg
    91.5 KB · Views: 269
dogo anaitumia camera ya kawaida
betri linakaa na chaji mnooooo
IMEI kupitia mfumo wa tcra imetambulika ngoja tusikilizie kama itazimwa ama laa

japo nimejaribu kupitia gsm arena sijaona kama wamezi review
 
Haziwez fungwa koz zina partnership na google af google hawakosei
 
Habari wana jf. Mimi ninatumia infinix hot note x600 ipo vizuri na nimejaribu kuverify imei simu imetambulika bila tatizo.
 
Znafungwa nmeprove infinix x551

Umeshindwa kuielewa sms ya TCRA , hilo tatizo sio kwako tu, wapo wengi wanaVerify hata nokia tochi OG, then wanasema ni feki kwa kushindwa kuielewa meseji ya TCRA
 
betri yake mAh ngapi? tuanzie hapo kwanza
 
Leo katika pitapita zangu nkakutana na hizi simu..INFINITY SMARTPHONES..wenye kuzijua...kweli hizi simu sio za mwezi june...TCRA??
Je, vipi kuhusu ubora na uimara wake...??
Naomba kuwasilishaa
Zinauzwa ngapi?
 
Back
Top Bottom