0swagg Member Joined Jun 29, 2020 Posts 36 Reaction score 12 Aug 24, 2021 #1 Mwenye kuzijua hiz kozi atupe mwanga - Bachelor of Business Administration - Bachelor of Science in Library and Information Management Ipi Bora, soko,
Mwenye kuzijua hiz kozi atupe mwanga - Bachelor of Business Administration - Bachelor of Science in Library and Information Management Ipi Bora, soko,
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 14,905 Reaction score 34,435 Aug 24, 2021 #2 Pote giza at least ya kwanza
Isotonic JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 2,615 Reaction score 4,012 Aug 24, 2021 #3 Una connection? Kama huna kasome uongeze maarifa uje kujiajiri tu.
0swagg Member Joined Jun 29, 2020 Posts 36 Reaction score 12 Aug 24, 2021 Thread starter #4 gachacha said: Una connection ? Kama huna kasome uongeze maarifa uje kujiajiri tu Click to expand... Mhm dah kuna mtoto kachaguliwa hizo
gachacha said: Una connection ? Kama huna kasome uongeze maarifa uje kujiajiri tu Click to expand... Mhm dah kuna mtoto kachaguliwa hizo
0swagg Member Joined Jun 29, 2020 Posts 36 Reaction score 12 Aug 24, 2021 Thread starter #5 Mr Devil said: Pote giza at least ya kwanza Click to expand... Ok ok hiyo yapili hamna jambo.!!?
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,692 Reaction score 41,852 Aug 24, 2021 #6 Kasome business #MaendeleoHayanaChama
vannistelrooy JF-Expert Member Joined Jan 31, 2017 Posts 318 Reaction score 657 Aug 24, 2021 #7 Kasome business hiyo library utaishia kuwa mchawi na kuja kuilaumu serikali ya awamu ya saba na kuendelea
Kasome business hiyo library utaishia kuwa mchawi na kuja kuilaumu serikali ya awamu ya saba na kuendelea