CathLiv Senior Member Mar 11, 2017 112 52 Jun 12, 2017 #1 Mwenye kuuza mashine/vifaa vya kuchorea michoro kwenye nguzo za nyumba na madirisha tuwasiliane kabla ya saa nane mchana. UAMINIFU UWEPO. 0769321005. Maua kama haya... KAZI NI KWAKO
Mwenye kuuza mashine/vifaa vya kuchorea michoro kwenye nguzo za nyumba na madirisha tuwasiliane kabla ya saa nane mchana. UAMINIFU UWEPO. 0769321005. Maua kama haya... KAZI NI KWAKO
South JF-Expert Member Jan 11, 2016 3,514 5,141 Jun 12, 2017 #2 Walikua bize na ripoti ya makanikia, vp kuna aliyejitokeza?
CathLiv Senior Member Mar 11, 2017 112 52 Jun 12, 2017 Thread starter #3 South said: Walikua bize na ripoti ya makanikia, vp kuna aliyejitokeza? Click to expand... sijaona hata mmoja... nikiwa bilionea hii ni fursa kumbe. Kama yupo bado nawasubiri
South said: Walikua bize na ripoti ya makanikia, vp kuna aliyejitokeza? Click to expand... sijaona hata mmoja... nikiwa bilionea hii ni fursa kumbe. Kama yupo bado nawasubiri