Mwenye kumfahamu mganga bingwa na mkweli pale Njombe, Makete atusaidie tunashida

Wana JF
Nawaombeni msaada kuna shida moja tunahitaji ufumbuzi wa tatizo lililopo, naomba msaada kwa wanaomfahamu MGANGA BINGWA ambaye sio mbabaishaji pale MAKETE huko njombe atuasidie hata kama una namba zake mtu saidie. unaweza ukanitumia au kunielekeza inbox akama unaona hapa watakufahamu ukitoa ushauri.

Natanguliza shukrani za kipekee.

TAFADHALI TUSITUKANE WALA KUKEJELI KILA MTU ANAYAKE MATATIZO. Kama haikuhusu afadhali ukae kimya.
Niambie kwanza.Kama unaenda kuwaloga CCM wote nakutumia namba za simu muda si mrefu.
 
Wana JF
Nawaombeni msaada kuna shida moja tunahitaji ufumbuzi wa tatizo lililopo, naomba msaada kwa wanaomfahamu MGANGA BINGWA ambaye sio mbabaishaji pale MAKETE huko njombe atuasidie hata kama una namba zake mtu saidie. unaweza ukanitumia au kunielekeza inbox akama unaona hapa watakufahamu ukitoa ushauri.

Natanguliza shukrani za kipekee.

TAFADHALI TUSITUKANE WALA KUKEJELI KILA MTU ANAYAKE MATATIZO. Kama haikuhusu afadhali ukae kimya.
liwundasanga kutoka......
 
Yeremiah 17:5-6

BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.

Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu.

Bado Naendelea Kujifunza
Mimi natamani sana kuiona hiyo nchi ya Jangwani ya chumvi isiyokaliwa na watu.
 
Kuna mmoja alikuwa hapo njombe sehemu moja panajulikana kama "KWA RUFYONGO" na alijulikana kama PAKASI YA BOMBO alikuwa maarufu sana sasa sijui kama bado yupo,hebu wacheki pipo wa hiyo mitaa nadhani watakupa ushirikiano mkuu
 
Back
Top Bottom