N nanjanga JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 331 Reaction score 114 Mar 29, 2014 #21 kama miuslam amka usiku uliotulia then sali lakaa mbili muombe mungu KWA dhati kabisa na KWA imani ya kweli isio na shaka, mungu atakuponya ugonjwa wako inshalaa, mungu anajua zaidi
kama miuslam amka usiku uliotulia then sali lakaa mbili muombe mungu KWA dhati kabisa na KWA imani ya kweli isio na shaka, mungu atakuponya ugonjwa wako inshalaa, mungu anajua zaidi