mwenye kujua software ya ku-flash iphone na simu nyengine

immasakha

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
489
Reaction score
282
Wanadau ninatumia iphone 5 lakin kwa bahati mbaya leo imetimia wiki ya pili network imepotea kabisa siwezi kupiga simu,kupigiwa au kutuma sms na inaonesha 'No service' kwenye carrer , kwahivyo nimeamua kutaka kuflash hii simu 'naomba mwenye software hiyo anisaidie.
 
huna haja ya kuflash, unaweza fix hyo shida kwa simple tricks
 
5😀😀
 
Mkuu mweye simu mrudishie tu mwenyewe vingenevyo utakamatwa hata ukiwa chini ya uvungu,
Iphone haichezewi hovyo kama huijui passwrd hutaiflash sahau hilo[emoji1321]
 

Iphone ukiuziwa ya mazabe mwenye simu kaifunga huwezi ifungua popote duniani!
Labda aamue tu asiripoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…