Mwenye kujua namna ya kupata luku.

Mwenye kujua namna ya kupata luku.

Raiamkweli

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
24
Reaction score
1
Nahitaji kupata luku binafsi so mwenye kujua means.
Please ani pm niko magomeni Dar Es salaam
 
Nahitaji kupata luku binafsi so mwenye kujua means.
Please ani pm niko magomeni Dar Es salaam

Itakubidi iyo sehemu inayotaka luku yake iwe imeshafanyiwa wiring,then unakwenda tanesco kuchukua fomu ambayo unalipia 59OO/= Then unamtafuta contractar/mkandarasi aliesajiriwa na tanesco ili achore mchoro na aweze kugonga muhuri.Baada ya hapo utarudisha iyo fomu tanesco ndipo utapangiwa siku ya survey kuja kupima eneo lako.baada ya kupimiwa ndipo utaweza kulipa na kuwekewa Luku, kwa msaada zaidi tuwasiliane Call/whatsap 0718-302132
 
Nahitaji kupata luku binafsi so mwenye kujua means.
Please ani pm niko magomeni Dar Es salaam

Hapo magomeni kuna ofisi za tanesco hutaki kwenda unakuja kupoteza muda tu hapa.. haya subiri hizo pm mwaka mzima!
 
Back
Top Bottom