mwenye kujua kuhusu ipad mini

Babchabi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,745
Reaction score
777
wakuu kuna rafiki yangu ameniletea ipad mini nimfanyie restore nimemfanyia kwa kutumia itunes ila baada ya ku restart inanambia activate ipad mwenye kuelewa hili anambie nimemuuliza je mkuu hii kitu c cha kuiba eti kanambia hajaiba sasa sijui ananiongopea naomba ushauri wenu kama kutakua na kitu cha hatari kuhusu hili ushauri kwenu tafadhali
 
Kama hajaiba lazima kuna account yake huko apple na sijui wasiwasi wako ni upi!
Mie nina ipad 4 128 gb na bila password huwezi ifungua!
 
Kama hajaiba lazima kuna account yake huko apple na sijui wasiwasi wako ni upi!
Mie nina ipad 4 128 gb na bila password huwezi ifungua!
kwa maana hiyi bila ya acount ya apple haiwezi kufunguka sio
manaake possword tayari imesha reset sasa inataka icloud id
 
kwa maana hiyi bila ya acount ya apple haiwezi kufunguka sio
manaake possword tayari imesha reset sasa inataka icloud id

Mwambie aweke apple id yake na password bila hiyo hata afanyeje haiwez funguka
 
Mwambie aweke apple id yake na password bila hiyo hata afanyeje haiwez funguka
ok
ila kwa maelezo yake leo nilipoongea nae kanambia kauziwa na jamaa tena jamaa wenyewe hata cable wala risiti wala chaja hajampa inaonekana kama ni ya magumash
kwa maana hiyo hakuna software yoyote ya kucrack hapo kuondoa acount ya mwanzo
 
Ku crack ipad sahau kabisa. Jamaa wameilinda sana dhidi ya wizi.
Kama ni kweli jamaa kauziwa arudi kwa muuzaji abadilishiwe password bila hivyo let him/her declare it useless!
 
jihadhari kaka hiyo ipad itasababishwa wote mkamatwe.hebu mrudishie mwenyewe itoke mikononi mwako
 
Kama hajaiba lazima kuna account yake huko apple na sijui wasiwasi wako ni upi!
Mie nina ipad 4 128 gb na bila password huwezi ifungua!

Mkuu kwenye ipad yako unadownload music and videos.if so naomba nisaidie maana kwangu mm imekuwa mtihani,apple ipad 3

Sent from my iPad
 
mkuu kwenye ipad yako unadownload music and videos.if so naomba nisaidie maana kwangu mm imekuwa mtihani,apple ipad 3

sent from my ipad

mkuu nenda application store download application inaitwa free download itakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…