PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,856 Reaction score 23,445 Dec 14, 2016 #21 KIOO said: Wanamuulizia kwa lipi funguka vizuri watu wajue hata tukionana nae tujue tunamwambia anauliziwa kwa lipi mkuu...? Click to expand... Wanataka hela zao.
KIOO said: Wanamuulizia kwa lipi funguka vizuri watu wajue hata tukionana nae tujue tunamwambia anauliziwa kwa lipi mkuu...? Click to expand... Wanataka hela zao.
Boutafrica JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 1,291 Reaction score 2,842 Dec 14, 2016 #22 shonkoso said: Nipo huku Kenya kuna watu wanamuulizia, Mara baada ya kusikia Mimi nimetokea tz,kiukweli cjui chochote kuhusu huyu jamaa Click to expand... Mbona mnatughulisha jamani..Mara tumtafute Ben Mara Mr nice...heb Ngoja tuanze na Ben kwanza then tutarudi kwa nice.
shonkoso said: Nipo huku Kenya kuna watu wanamuulizia, Mara baada ya kusikia Mimi nimetokea tz,kiukweli cjui chochote kuhusu huyu jamaa Click to expand... Mbona mnatughulisha jamani..Mara tumtafute Ben Mara Mr nice...heb Ngoja tuanze na Ben kwanza then tutarudi kwa nice.
KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,249 Reaction score 5,962 Dec 14, 2016 #23 PAGAN said: Wanataka hela zao. Click to expand... Wee ndiye uliyekutana na hao wakenya mkuu...?
Bome-e JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 17,226 Reaction score 26,330 Dec 15, 2016 #24 Mara ya mwisho nilimuona Geita,alikuwa kapigika kweli!Akanunuliwa bia 4 akapanda kuimba nyimbo zake 2
Mara ya mwisho nilimuona Geita,alikuwa kapigika kweli!Akanunuliwa bia 4 akapanda kuimba nyimbo zake 2
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,322 Dec 15, 2016 #25 Hama kweli wakati ni ukuta.....Mr 9c kutoka kutembea na mabaunsa 10 na msululu wa magari kila sehemu,Leo hii anaishi kama digidigi.
Hama kweli wakati ni ukuta.....Mr 9c kutoka kutembea na mabaunsa 10 na msululu wa magari kila sehemu,Leo hii anaishi kama digidigi.
M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,559 Reaction score 10,608 Dec 15, 2016 #26 Amalinze said: Hama kweli wakati ni ukuta.....Mr 9c kutoka kutembea na mabaunsa 10 na msululu wa magari kila sehemu,Leo hii anaishi kama digidigi. Click to expand... Du Watz mna maneno ndio maana mitandao inataka kufungwa.
Amalinze said: Hama kweli wakati ni ukuta.....Mr 9c kutoka kutembea na mabaunsa 10 na msululu wa magari kila sehemu,Leo hii anaishi kama digidigi. Click to expand... Du Watz mna maneno ndio maana mitandao inataka kufungwa.