Habari zenu wapendwa kama kuna mtu yeyote anamahitaji ya solar kuanzia vifaa hadi installation tafadhali tuwasiliane kwa namba 0767670155/0655670155.... ajira hamna jamani bora tujaribu kujiajiri mana hali ni tete sana!!! Hata kama mtu anataka tu kuelekezwa jinsi mfumo wa solar ulivyo piga hiyo namba hapo utaelekezwa kila kitu.