1. download hii plugin kwenye mozilla yako, hakikisha unavisit hii link ukiwa kwenye mozila
Flash Video Downloader - YouTube HD Download [4K]
ikimaliza kudownload utaona alama ya mshale umeelekea chini mbele ya sehemu ya kuandikia anuani ya website pindi unapoangalia video itabadilika na kuwa rangi ya blue iclick itakupa uchaguzi wa quality na uwezo wa kudownload.
alternative tumia idm itadaka hizo video automatic
kutumia hio service ya tigo ya fb bure itabidi uwe na user agent ya simu, download hapa kwenye mozilla yako
User Agent Switcher
kitatokea kialama cha dunia juu kulia kiclick halafu chagua iphone 3 website zako zote zitabadilika kama za simu. kumbuka kuieka off ukitaka kutumia browser yako kama kawaida