Mwenye kiwanja Goba chenye hati

Mdhamini

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
214
172
Wanaja JF kama kuna mtu ana kiwanja Goba chenye hati ani PM.

1. sqm 1000-2000
2. Budget isizidi 25M
3. Kisiwe kinadaiwa na Bank
4. Bei iwe realistic na eneo uhusika

Nawasilisha.
 
Wanaja JF kama kuna mtu ana kiwanja Goba chenye hati ani PM.

1. sqm 1000-2000
2. Budget isizidi 25M
3. Kisiwe kinadaiwa na Bank
4. Bei iwe realistic na eneo uhusika

Nawasilisha.
Kuna chenye sqm1490 Goba
Kimepimwa
Bei 25m
 
Ebu nenda kabisa huko au tafuta wenyeji wanaweza kukuelekeza jinsj ya kivipata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom