Mwenye Katiba ya Simba au Yanga

Mwenye Katiba ya Simba au Yanga

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Wkuu tafadhali mnisaidie kuniweke nakala laini ya timu tajwa hapo juu, nadhani ni muda mwafaka kujadili kwa rejea, ile ya Simba ninayo kwa nakala ngumu, ila ya Yanga sina kabisa, niliyokuwa nayo ni ya zamani ambayo ukurasa wa mwisho kabisa ina maneno;

BISHANA HADI KUFA HATA KAMA NI UKWELI
 
Back
Top Bottom