Naomba kama Kuna mtu mwenye huu wimbo ili niwe na sikiliza taratibu maana sijapata hela ya field na sina kitu na nina madeni kibao naomba mnitumie wimbo wa ccm mbele kwa mbele marcomhagama335@gmail.com

Naona mnazidi kunichoma moyo unajua mpaka mtu unafika sehemu unatamani ukapige mateke makaburi ya wazazi wako kwanini hawakujituma ili nisitegemee kihela cha field kama akina fulani maana Kuna wenzangu wakiomba tuu hela zinakuja +boom daa raha xana but wewe mwenzagu na mimi huna hata kwa kuomba bora wangekuepo hata kama masikini wanaweza kukusaidia japo 1000 Lakin huna daaaa majanga

Hapa ndiyo unawaonea huruma watoto wa like, hasa waliotoka familia maskini. Huna hata pa kuomba hats senti na uko mbali na nyumbani . lazima tu utafute njia nyingine ya kujipatia pesa kidogo walau spate kula. Poleni sana madogo.
Kuna binti moja nimeongea naye yuko field hadi unamwonea huruma.