itakuwaje kama ni mtu na dadake; mtu na binti yake (vyumba tofauti)? Na itakuwaje ni watu wazima ambao hawataki kufunga ndoa lakini ni wapenzi? Itakuwa ni kinyume cha Katiba kwani huwezi kumshurutisha mtu kuoa na huwezi kutunga sheria ambayo inalenga kuwabagua watu fulani kwa sababu ya hali yao ya ndoa (marital status)
Hapa nazungumzia watu ambao wameenda hotelini au gesti kwa ajili ya ngono.
kuna ushahidi gani wa kauli hii?
Mwingi tu. Mfano mdogo je uko tayari kufanya ngono bila kondomu na mwanamke ambaye umekutana naye leo na kumtongoza naye amekukubalia?
kama kila mmoja akichukulia kuwa ni muathirika huoni kuwa kunahalalisha kujamiiana? kuna ubaya gani waathirika kwa waathirika wakijamiiana?
Naamini mtalindana vizuri. Kwanini mnawambia watu walindane baada ya Kupima na si kabla ya kupima??